Tofauti yetu na Makampuni mengine ya Technolojia

Utumiaji wa Teknlojia Kwanza
Mara zote tunawapa nafasi wana familia wanaojiunga kutumia Teknolojia zetu bure bila ya malipo ili waweze kujua ubora na urahisi wa teknolojia tofauti na ilivyo kwa makampuni mengi ya teknolojia ambayo huanza kuuza teknolojia ambayo mtu hajaitumia .

Usikilizaji wa wateja
Mifumo yote tunayotengeneza hutokana na masikio au maombi ya wateja na sisi huboresha zaidi kuendana .

Utulivu katika matakwa ya mteja
Wateja wetu tunawataka waeleze kile wanachokitaka tuwatengenezee badala ya kuchukua vitu wasivyovitumia na kuwalazimisha watumie kwa kuwa winatumika sehemu nyinginezo.