Njiapanda Technologies ni kampuni binafsi inayojihusisha na Teknoojia hasa katika fani ya komputa kwa ujumla. Malengo yetu ni kutoa support katika mambo ya biashara, Taaluma pamoja na mambo mengine muhimu yanayohusiana na teknolojia. Tunatengeneza Tavuti pamoja na Mifumo ya komputa ambayo hutumika pia katika vifaa vyote vya mawasiliano kama Simu na Tablet. Tumekwisha tengeneza Mifumo mbalimbali unaweza kuitizama katika Profile zetu hapo chini. Tunatoa pia ushauri kabla ya kutengenezewa Tovuti au Mfumo ili uweze kuwa na ufanisi zaidi, karibu uwasiliane nasi kwa uboreshaji wa Biashara yako ya aina yoyote
Wataalamu
Wateja
Kazi
Kampuni inayohusika na uuzaji wa Madini na vifaa vya uchimbaji madini.
Anaweza kuangalia wateja
Anasoma maoni ya wateja
Anaweza kuongeza watumiaji
Anabadili taarifa na Picha
Anapata Msaada muda wowote
Taasisi inayomiliki Shule za Ahmes Bagamoyo na Ahmes Mbweni
Anaweza kuangalia wateja
Anasoma maoni ya wateja
Anaweza kuongeza watumiaji
Anabadili taarifa na Picha
Anapata Msaada muda wowote
Taasisi inayomiliki Shule za Bright Future ya wasichana na Wavulana
Anaweza kuangalia wateja
Anasoma maoni ya wateja
Anaweza kuongeza watumiaji
Anabadili taarifa na Picha
Anapata Msaada muda wowote
Nashukuru sana wa kazi yenu nzuri ya kiwango cha juu, niliwahi kutengenezewa website nikajuta lakini mmenifanya nipende kujitangaza tena kupitia website, nashkuru sana
Sikujua kama Shule inahitaji website kwa kiwango cha juu kama ninavyoona kwa sasa wazazi wanapata taarifa zote za maendeleo ya watoto wao lakini pia wazazi wapya wanapata taarifa zote, mmeniheshimisha mjini
Kazi zenu ni nzuri na nashukuru sana kwa ubununifu wenu wa kuhakikisha taarifa muhimu zinafika kwa wadau wangu kupitia website, mwanzoni sikuwaamini sana lakini kwa sasa sioni wa kuwafikia, Asanteni
Mfumo wa biashara mlionitengenezea umekuwa mkombozi wa biashara yangu tangu nimeanza kuutumia nimekua nikiona mauzo yangu kila siku kwenye biashara zangu zote, sikutegemea ila nawapa heko sana
Hii ni baadhi ya mifumo iliyotengenezwa na inatuma katika Simu za Smart na Komputa pia na mifumo hutumika Online pamoja na Offline (bila data).