Karibu

Kuhusu Njiapanda Technologies

Njiapanda Technologies

Njiapanda Technologies ni kundi la wabobezi katika fani ya Computer na Teknolojia kwa ujumla wenye malengo ya kutoa support katika mambo ya biashara, Taaluma pamoja na mambo mengine muhimu yanayohusiana na teknolojia. Tumejikita zaidi katika kusaidia shughuli za maeneo mawili ambayo ni Biashara pamoja na Elimu (Taaluma). Ambapo tunatengeneza mifumo mbalimbali ya kutumia kwa wafanyabiashara pamoja na mifumo ya kusaidia uendeshaji wa shule na utoaji wa taaluma kwa ujumla. Tumetengeneza mifumo mbalimbali ya wafanyabiashara pamoja na mifum ya shule na ni bure kabisa kuanza kutumia na kuleta mapendekezo.

Mifumo mbalimbali ya kutumia Mashuleni

Modern Report Systems Scoresheet, Ranks and Report Printing

Mifumo yetu inabadilishwa kulingana na mahitaji ya watumiaji wetu na kubadilisha ni mara moja tu.

Lengo kubwa ni kuhakikisha kila mtumiaji anafikia lengo husika na mafanikio anayotaka

100000
Maneno
180
Machapisho
12
Zawadi
26
Ufuatiliaji