Njiapanda Technologies ni kampuni binafsi inayojihusisha na Teknoojia hasa katika fani ya komputa kwa ujumla. Malengo yetu ni kutoa support katika mambo ya biashara, Taaluma pamoja na mambo mengine muhimu yanayohusiana na teknolojia. Tunatengeneza Tavuti pamoja na Mifumo ya komputa ambayo hutumika pia katika vifaa vyote vya mawasiliano kama Simu na Tablet. Tumekwisha tengeneza Mifumo mbalimbali unaweza kuitizama katika Profile zetu hapo chini. Tunatoa pia ushauri kabla ya kutengenezewa Tovuti au Mfumo ili uweze kuwa na ufanisi zaidi, karibu uwasiliane nasi kwa uboreshaji wa Biashara yako ya aina yoyote
Wataalamu
Wateja
Kazi