#

Msaada: - Namna ya kuanza kutumia Mifumo yetu

Kutumia Mifumo yetu

Tunakuletea sasa njia rahisi ambayo utaweza kupakua mifumo yetu yote na kuitumia kwa njia nyepesi kabisa bila ya kuhitaji uwepo wetu sehemu uliyopo kwa matumizi yako pekee kama ifuatavyo..

  • Kudownload Server ambayo itakua Computer yako
  • Namna ya kuweka server wewe mwenyewe
  • Kufanya setting kwa mara ya kwanza na matumizi
#

Kinyume na watengenezaji wengine, Njiapanda tunakutengenezea mfumo unaoendana na Biashara yako na kukushauri uongeze kitu gani katika biashara yako ili ufanisi uweze kuwepo kwa kiwango cha juu zaidi, Hatulazimizhi wateja wetu kufuata mifumo ya wenzao bali unatueleza unachokitaka na sisi tunakupatia njia sahihi na iliyo bora zaidi, Karibu uanze nasi uone mafanikio ya matumisi ya Mifumo yetu. Kwa mawasiliano 0623 299 076 Karibu sana.

Kinyume na mifumo mingi Mifumo yetu inampa Mteja maamuzi ya kuchagua atumie Mfumo sehemu za ofisi zake tu au atumie hata nje ya ofisi kwa mfano anapokuwa kwenye Internet sehemu yoyote duniani anaweza kuone katika mfumo wake ni faida kiasi gani amepata kwa siku na mzigo uliobaki stoo na hata mauzo kwa siku kama atahitaji kuona yote yanawezekana.

Mifumo yote ambayo inatumika katika mtandao simu hutumika katika kuangalia, bidhaa stoo, caunta na sehemu nyinginezo ambapo utaweza kuona kila kinachofanyika katika Mfumo wako hata ukiwa mbali (mikoani au Nchi za nje) Hivyo simu ni kifaa muhimu katika utumiaji wa mifumo yetu ya kwenye internet isipokua mifumo inayotumia excel peke yake.

Tunatengeneza Mifumo rahisi kutumia katika utoaji wa ripoti za wanafunzi za kitaaluma pamoja na kufanya tahtmini (Evaluation) katika mitihani mbalimbali pamoja na mifumo mingine ya kufanya tathmini ya sehemu iliyofundishwa (Content Coverage Revision) Kwa shule za Sekondari ya mwanzo (O-Level) kwa ajili ya maandalizi ya mitihani ya kidato cha nne. Na mengineyo mengi kuhusu mifumo hiyo Tupigie 0623 299 076 Karibu sana.

#

Huduma za Haraka

Tunajitahidi kuwafikia wateja wetu kwa haraka iwezekanavyo kama wanavyohitaji

#

Malipo ya uhakika

Mteja wetu hulipia gharama za matumizi baada ya kuhakikisha anapata kile anachohitaji

#

Jopo la wataalamu

Wataalamu wetu wana uzoefu wa kutatua changamoto mbalimbali kwa njia ya Mifumo yetu ya Computer.

Unahitaji msaada kwa sasa ?

Popote utakapokwama tupitgie kupitia simu yetu 0623 299 076 kwa msaada wa kufundi au wasiliana nasi bila kusita

Jaza Maoni

Wataalamu wenye uzoefu

Wataalamu wa Mambo ya kudizaini na mifumo ya Mitandaoni kwa ujumla.

#

Kiboko Maulid

#

Athumani Kimisha

#

Jofrey Mashaka

#

JIUNGE NASI KWA MAJARIBIO SASA

Pata ushauri na majibu kutoka kwa watu wetu wa IT.