#

Mfumo wa Mauzo kwa Simu ya Mkononi - Smartphone

#

Kusanya Taarifa za Mauzo Kwa Usahihi

Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa, Pia mfumo huu hukuwezesha kuangalia faida na yote unayopata kwa muda wowote unaotaka, kwa siku, wiki mwezi hata mwaka. Yote haya hufanyika ndani ya sekunde tu hauhitaji muda mrefu wala kuwa mjuzi wa lugha maana mfumo huu unatumia lugha halisi ya Kiswahili

Gawia wengine:

UMUHIMU WA MFUMO HUU

==>> Husaidia kutunza Taarifa za Biashara kwa muda mrefu na kwa mazingira ya aina zote

==>> Husaidia kufanya tathmini ya biashara yako kwa kuona faida mara kwa mara na hasara

==>> Itakuwezesha kufanya manunuzi sahihi kuendana na mahitaji ya wateja wako na kuwa na bidhaa zinazopendwa au kuuzwa mara kwa mara

==>> Unaweza kupata taarifa zako muda wowote na mahali popote

==>> Njia salama ya utunzaji na uwekaji kumbukumbu kwani Biashara bila kumbukumbu hukua kwa bahati nasibu tu.

Sambaza:

NANI ANATAKIWA KUTUMIA MFUMO HUU?

>> Mtumiaji yeyote wa Computer ambae anajua kutumia mouse na keyboard anaweza kutumia Mfumo huu.

>> Mfumo huu hupatikana hapa bure kabisa na hauuzwi mpaka pale tutakapolitangaza hilo rasmi hapa kwenye mtandao wetu.

>> Namna ya kutumia imeelekezwa hapa hapa katika ukurasa huu sehemu iliyoandikwa (Jinsi ya kutumia Mfumo huu) na maelekezo yote yapo kwa njia ya video.

>> Ikiwa umekutana na Changamoto yoyote katika utumiaji wa mfumo huu wasiliana nasi kupitia namba 0653 407 894.

Sambaza:
#

RIPOTI YA MAUZO ILIYOJITOSHELEZA

++ Inaonesha Mapato yote ya siku.

++ Inaonesha DMapatao ya Mwezi au wiki .

++ Inaonesha Faida yote kwa siku.

++ Inaonesha Faida ya mwezi mzima au mwaka.

++ Inaonesha Mtaji wote uliowekeza.

++ Inaonesha Madeni yote unayodai

++ Inaonesha Matumizi yako yote uliyofanya.

++ Inaonesha Manunuzi yote ya bidhaa Mpya.

++ Inaonesha Jumla ya Faida ukitoa matumizi.

++ Inaonesha Jumla ya Matumizi yako yote.

++ Inaonesha Jumla ya Manunuzi yote.

Sambaza:
#
#

JIUNGE NASI KWA MAJARIBIO SASA

Pata ushauri na majibu kutoka kwa watu wetu wa IT.