Jifundishe Computer sasa kwa Gharama nafuu huku ukielekezwa namna ya kutumia Computer katika shughuli zako za kila siku Bofya Open Computer School hapo chini jisajili na uanze masomo yako
Published On : 02-12-2021

MIFUMO YA KUFANYIA TATHMINI
Ripoti za Kitaaluma za O- Level na A-level zinapatikana hapa bure na zikiwa na mikeka yote inayohitajika kwa ajili ya kufanyia evaluation kutokana na Grades pamoja na division. Jiunge hapa Sasa

Ingia hapa Waliojisajili

UTENGENEZAJI WA MIFUMO MAALUM
Tunatengeneza mifumo aina mbalimbali ambayo inatumika katika kazi za maofisini au biashara kulingana na mahitaji ya mteja na mazingira yake na namna ya ufanyaji kazi

Bofya hapa Kuanza

KUSANYA MAUZO KWA SIMU
Mfumo huu unafanya kazi popote

Kwa Kutumia simu au computa utapata Taarifa zako zote ikiwa tu umejisajili hapa katika mfumo huu.
==> Namna ya kujisajili mwanzo
==> Kuweka Bidhaa na watumiaji
==> Kuangalia mauzo, faida zote

Bofya Kujisajili

KUSANYA MAUZO KWA COMPUTA
Boresha biashara yako sasa kwa
==> Taarifa sahihi za mapato yote
==> Faida ya kila siku, wiki, mwezi
==> Matumizi ya kila siku, wiki nk
==> Bidhaa zilizopo, zilizouzwa nk
==> Bidhaa zinazouzwa zaidi sasa
==> Bidhaa inayoelekea Ku(expire)

Bofya Kujiunga sasa

AGIZA NASI VIFAA VYA CCTV CAMERA
Tunatoa huduma ya kutoa vifaa vya CCTV camera kwa bei ya moja kwa moja yenye discount na uhakika wa kutosha, Mahitaji yako yote yatafanyika hapa kwa kuyaandika na utaletewa mzigo wako kutokana na Specification utakazojaza. Kwa maulizo msg tu kwa 0623 299 076.

Bofya Kujua zaidi