Tunatengeneza Mifumo rahisi kutumia Tovuti za Mashule na Biashara zote
Mifumo tunayotengeneza ni ile inayoendana na mahitaji yako pekee na pia Website tunazotengeneza ni tofauti na website nyingine katika utumiaji kama ifuatavyo :
Njiapanda Technologies ni kampuni binafsi inayojihusisha na Teknolojia hasa katika fani ya komputa kwa ujumla.
Tumekwisha tengeneza Mifumo mbalimbali unaweza kuitizama katika Profile zetu hapo chini. Tunatoa pia ushauri kabla ya kutengenezewa Tovuti au Mfumo ili uweze kuwa na ufanisi zaidi, karibu uwasiliane nasi kwa uboreshaji wa Biashara yako ya aina yoyote.
Jua zaidiMifumo tunayotengeneza ni ile inayoendana na mahitaji yako pekee na pia Website tunazotengeneza ni tofauti na website nyingine katika utumiaji kama ifuatavyo :
Mifumo yetu inatokana na mahitaji ya mteja tu, ambapo mteja hutaja kile tu anachotaka kitokee na kisha sisi tunamtengenezea kwa gharama tunazokubaliana kwa haraka zaidi.
Tunatengeneza website kuanzia za makampuni, shule pamoja na taasisi za kielimu, afya na nyinginezo. Pia website zetu tunampa mteja uwezo wa kubadilisha maudhui mwenyewe bila ya kuhitaji utaalamu wa kuandika lugha za kitaalamu.
Tunatoa huduma ya vifaa vyote vya Computer na vinavyohusiana na Computer kwa bei iliyo nafuu na isiyopatikana sehemu yoyote kwa mawakala wetu walio nje ya nchi tena kwa muda mfupi na kwa kiwango cha juu zaidi
Kiwango cha wateja wetu kuridhika na huduma zetu.
Tunatoa huduma kwa kuzingatia mahitaji ya Mteja na hali yake, Hivyo huduma zetu huendana na ngazi ya Biashara na yale muhusika anayotarajia kuyafikia au kuyaona katika biashara yake.
Tunakuhakikishia ukaribu wa wateja wetu au wote mnaotaka kujua huduma zetu kwa kutumia whatsapp, Gusa kitufe hapo pembeni kuwasiliana nasi moja kwa moja.
Huu ni mfululizo wa baadhi tu ya kazi tulizofanya miongoni mwa kazi nyingi tulizofanya zimekidhi mahitaji ya wateja wetu kama walivyokuwa wanahitaji na baadhi wametoa ushuhuda katika sehemu za shuhuda hapo chini
Njiapanda Technologies Co Ltd ina timu ya designers ambao hutumia muda wao mwingi kuhakikisha unapata matumizi sahihi na mepesi ya Teknolojia katika kukuza biashara yako au kuendesha shughuli zako za kila siku za kiofisi au za ki-taasisi.
Upangaji wa mipango yote ya Kampuni na utekelezaji.
Anahusika na Mauzo na maelewano na Wateja.
Mtengenezaji wa mifumo ya Computer
Anahusika na Kuset na vifaa vyote vya Computer
Haya ni baadhi ya maswali ambayo wengi katika wateja wetu wamekuwa wakiulizwa na ufafanuzi umekuwa ukitolewa kwa wateja wetu pamoja na ufafanuzi juu ya hoja mbalimbali zinazohusu huduma zetu kwa pamoja.
Tunatoa mafunzo namna ya kuweka kila kitu kwenye website yako mwenyewe bila ya kuhitaji mafunzo ya ngazi ya juu kwa namna nyepesi kabisa ambayo kila mtu anaweza kufanya kwa urahisi Angalia video yetu hapa.
Mifumo yote tunayotengeneza inatokana na maombi ya wateja wetu kwa kutaja na kubainisha mahitaji yao mwanzo kisha tunakupa mfumo wa mahitaji yako peke yako usiofanana na mifumo mingine kabisa.
Vifaa vya Electronic na vifaa vinavyohusiana na Computer tunaagiza na kusambaza kwa wale wanaohitaji kwa muda muafaka na kwa haraka zaidi, kuagiziwa sasa wasiliana nasi kwa kutumia 0717 925 985 au 0653 407 894 Agiza nasi na pata unachostahiki kwa wakati.
Tunakutembelea na unatupatia namna kazi zako zinavyofanyika na baada ya hapo tunakupa wazo la mfumo sahihi wa kuweza kukusaidia katika biashara au kazi zako za kila siku kwa ufanisi mkubwa. Wasiliana nasi sasa kwa mahitaji yako 0653 407 894
Baada ya kukutengenezea website yako tunakupa mafunzo namna nzuri ya kubadilisha kila kitu kwenye website yako bila kuwa na utaalamu wa kuandika code kama ilivyokuwa kwenye matumizi ya simu yako ya kawaida, Ungana nasi kwa kupiga simu yetu 0653 407 894
Tunahimiza mawasiliano yafanyike moja kwa moja kwetu maana tunajua umuhimu wa matakwa ya mteja na mahitaji yake kwa ujumla, wasiliana nasi sasa na tukupe mrejesho wa kile unachohitaji kujua.
Ilala CBD, Upanga Magharibi, Dar es Salaam
njiapanda25@gmail.com
0653 407 894 au 0717 925 985