Mawasiliano

+255 653 407 894

Email

admin@njiapanda.com

Muda wa Kazi

Mon - Sat: 7AM - 7PM

Kwa watumiaji wa system zetu tunatoa maelekezo ya video zote kwa mpangilio katika ukurasa huu kwa Program moja hadi nyingine.

Kwa watumiaji wa sysytem zote lazima waweke server kwenye Computer zao isipokua kwa watumiaji wa Excel template pekee ndio hawatahitaji server hiyo Click hapa kuidownload kisha twende kwenye System zetu na namna ya kutumia.

TEACHING MANAGEMENT SYSTEM (TMS)

  • Ni mfumo unaoonesha ufundisahaji wa darasani na namna ulivyofanyika huku ukulenga kuhakikisha mwanafunzi anafundishwa kile kinachotakiwa na Mtaala huku mahudhurio ya walimu au wafundishaji katika vipindi vyao yakionekana kwenye mfumo moja kwa moja.
  • Mfumo huu una database ya Mtaala wote wa O-level unaotumika Tanzania kwa sasa na kila kitu kinapatikana kwa kuclick mara moja na hakuna haja ya kuandika wakati wa kuingiza data
(TMS)

Namna ya kutumia Mfumo huu ni kama ifuatavyo:

  1. Hakikisha umedownload server na kuiweka kwenye Computer yako ambayo itakua haihami na utaiweka katika ofisi mojawapo ya taaluma au ofisi yenye mamlaka ya kuangalia ufundishaji mzima shuleni.
  2. Angalia namna ya kuweka server kwenye Computer yako
  3. Click hapa kudownload Mafaili yote yanayotakiwa ili ifanye kazi.
  4. Angalia namna ya kuweka mafaili kwenye Computer yako ambayo itatumika kama server (Computer ya Ofisini)