Mawasiliano

+255 653 407 894

Email

admin@njiapanda.com

Muda wa Kazi

Mon - Sat: 7AM - 7PM

TEACHING MANAGEMENT SYSTEM (TMS – ACCORDING TO TIE CARRICULUM TANZANIA)

Huu ni mfumo wa kukuhakikishia kuwa ufundishaji katika shule yako unakuwa ni wenye kufuata mtaala kwa usahihi na Kudhibiti utoro wa vipindi kisha kila kinachofundishwa unakiangalia kwa muda wowote unaotaka.

Unaanza kwa kusajili walimu wote kwa majina yao na masomo wanayofundisha katika madarasa yao.

Kisha unasajili ratiba (Time table) Yote ya shule kila kipindi na muda wake kama inavyokuwa kwenye time table nyingi tunazotumia. unaclick kwenye kitufe cha Fill the School Time table.

Baada ya mwalimu kusajiliwa na Timetable kujazwa sasa kila anapofanya shughuli yoyote ya ufundishaji Mwalimu anatakiwa kujaza taarifa zake kwenye mfumo kupitia simu yake au Computer kama ifuatavyo baada ya kuingia kwenye mfumo huu.


SHUGHULI ZA MWALIM ATAKAZOJAZA NI KAMA IFATAVYO KATIKA VIDEO HAPA CHINI

Click hapa kuona mwalimu anavyojaza Data zake zote kwa siku

NAMNA YA KUTUMIA KWA MKUU, MTAALUMA AU MKUU NA UKAGUZI

Click hapa kuona namna Mkaguzi anavyoona Taarifa kwenye Mfumo

Click hapa kuona namna ya kufanya kazi kama Mkuu/Mtaaluma au Meneja

NAMNA YA KUWEKA MFUMO HUU KWENYE COMPUTER YAKO NA KUFAFNYA MAJARIBIO.