Free Excel Report Templates

Jipatie Templates free utengeneze ripoti kwa muda mfupi

NI NANI ANATAKIWA KUTUMIA TEMPLATE HII KWA SASA ?

Admin  |  23.02.2022 10:10  |  15 comments

>> Mtumiaji yeyote wa Computer ambae anajua kutumia mouse na keyboard anaweza kutumia Template hii.
>> Template hii hupatikana hapa kwenye website yetu ni bure kabisa na haiuzwi mpaka pale tutakapolitangaza hilo rasmi hapa kwenye mtandao wetu.
>> Namna ya kutumia imeelekezwa hapa hapa katika ukurasa huu sehemu iliyoandikwa (Jinsi ya kutumia Template hii) na maelekezo yote yapo kwa njia ya video.
>> Ikiwa umekutana na Changamoto yoyote katika utumiaji wa Template hii wasiliana nasi kupitia namba 0653 407 894




Scoresheet Iliyojitosheleza
++ Inaonesha Ufaulu kwa Marks na Grades zake.
++ Inaonesha Division aliyopata mwanafunzi.
++ Inaonesha Points za Division aliyopata.
++ Inaonesha Nafasi ya mwanafunzi darasani kwa kila Mtihani alioufanya.
++ Inaonesha Grades zilizopatikana kwa kila somo darasani.
++ Inaonesha wanafunzi wenye ufaulu mkubwa na wenye ufaulu mdogo zaidi
++ Inaonesha idadi ya kila Grades katika kila somo.
++ Inaonesha Ufupisho/Summary ya kila somo kiujumla.
++ Inaonesha Summary ya Division zilizopatikana.

Fanya Evaluation na Kuprint
Kuprint Report, Ni kazi iliyokuwa ikisumbua sana hasa kama una wanafunzi wengi na unahitaji kutengeneza ripoti kwa haraka, Muda unaohitajika ni mwingi lakini uhalisia wa data unatakiwa kubaki palepale, hivyo Computer ndio ina sifa ya kufanya kazi iliyoelekezwa bila ya kuchoka wala kufanya makosa ndio maana mfumo huu ni suluhisho la mahitaji yote mawili usahihi wa data na utumiaji mzuri wa muda kama inavyotakiwa.

Umuhimu wa Template hii
==>> Husaidia kutunza data zako kwa muda mrefu zaidi na kwa usalama zaidi
==>> Tathmini ya kupanda na kushuka kwa kila mwanafunzi huonekana
==>> Kupanda na kushuka kwa ufaulu wa kila somo huonekana
==>> Inarahisisha kutoa Scoresheet isiyokuwa na makosa
==>> Inarahisisha kazi ya kuprint report za wanafunzi, Tizama mfano wa ripoti


Namna ya kupata Template hii na kutumia
Fuatilia hatua zifuatazo ili uweze kutumia Template hii
1- Download Template hapa (Click)
2- Namna ya kuweka majina ya wanafunzi
3- Kuweka Alama/Marks za wanafunzi
4- Kuangalia Scoresheet na Kuiprint
5- Mitazamo Mbalimbali ya Scoresheet
6- Kuprint Ripoti ya Mwisho ya Mwanafunzi
7- Mwonekano wa Ripoti ya Mwanafunzi