MAFUNZO YA COMPUTER KWA KISWAHILI

Bofya hapa kujiunga Bure


      INGIA KATIKA MFUMO WA MAUZO

Bofya hapa kuingia sasa


      RESULTS EVALUATION AND REPORT PRINTING

O-LEVEL  A-LEVEL


      SYSTEM AND WEBSITE DESIGNING

Click here to Press your Order
Jifundishe Computer sasa kwa Gharama nafuu huku ukielekezwa namna ya kutumia Computer katika shughuli zako za kila siku Bofya Open Computer School hapo chini jisajili na uanze masomo yako

CURRENT OFFERS : OFA ZILIZOPO ZA VIFAA KWA SASA

Mauzo ya vifaa vyote ni kwa njia ya Mtandao na mauzo yanafanyika baada ya maridhiano ya pande mbili (muuzaji na mnunuzi) wote kwa pamoja
==>> Vifaa vyetu vyote vina warant ya kuanzia mwaka mmoja
==>> Hatupokei bidhaa iliyopelekwa kwa fundi au kufunguliwa
==>> Vifaa vya betri na shoti za umeme hazihusiki katika warant
==>> Vifaa vyote tunavyotuma hakikisha ni vipya
==>> Ukibaini kasoro tafadhali tujulishe mara moja
==>> Pia unaweza kuagiza nasi vifaa unavyotaka
==>> Tunaagiza vifaa hata nje ya nchi kwa bei rafiki
==>> Kuuliza kuhusu vifaa vyovyote tunaruhusu
==>> Mikoani tunatuma kama eneo linajulikana
==>> Ulizia kuhusu chochote unachohitaji kupitia 0653 407 894
Bofya hapa Kuuliza zaidi

Huduma Tunazotoa na Mifumo Tuliyotengeneza

Jipatie Mahitaji ya CCTV Camera

Mifumo yote ya camera za kisasa unaweza kuunganishiwa kwenye simu yako na unaweza kuangalia mazingira yako au sehemu zilipofungwa muda wowote unaotaka.
==> Kufungiwa camera Kwako haza hapa
==> Kujifunza ufundi wa camera
==> Ulizia aina yoyote ya camera hapa
==> Omba kutemelewa katika Eneo lako

Jiunge sasa: Mon - Sat      Muda wote   
Kutengeneza ripoti za Shule

Boresha ripoti zako sasa kwa njia rahisi
==> Weka majina ya wanafunzi wote
==> Andalia Majina ya wanafunzi waliopo
==> Weka Alama/marks za wanafunzi wote
==> Print mkeka (Div, gpa na Grade)
==> Print ripoti za wanafunzi wote
==> Wape wazazi password kila mmoja aangalie ripoti ya mwanae

Jisajili sasa: Mon - Sat Muda wowote   

OFA: MFUMO WA DUKA LA MADAWA

Mfumo huu wa duka la dawa ni bure kabisa kwa watumiaji watakaojisajili kuanzia mwezi August hadi December 2022, wahi ofa hii kabla ya kufikia mwisho
Pharmacy Management ni Mfumo wa kisasa kabisa wa watumiaji wa Duka la madawa kuanzia duka kubwa hadi dogo, Husaidia kuangalia mauzo, mapato, matumizi pamoja na faida kwa ujumla.
==>> Angalia namna ya kujisajili kwenye mfumo huu, ni bure
==>> Namna mfumo unavyoonekana kwenye Simu/Computer
==>> Anza kusajili Bidhaa zote kwenye Mfumo, na watumiaji
==>> Namna ya kutoa Bidhaa zako stoo kupeleka dukani
==>> Bidhaa moja kwa moja dukani kama hauna stoo
==>> Angalia mabadiliko ya bidhaa (dukani na stoo)
==>> Kuangalia mauzo yote kwa siku zozote unazotaka
==>> Kuangalia Dawa zote zinazoeleka Expire
==>> Kuangalia madeni yote na deni la kila mteja
==>> Kuangalia faida ya siku yoyote, mwezi, wiki nk
==>> Kuangalia dawa zinazouzika sana eneo lako
Bofya hapa Kujisajili au Kuingia na Kutumia

Baadhi ya Mifumo iliyotengenezwa na inatumika

MIFUMO YA KUFANYIA TATHMINI

Ripoti za Kitaaluma za O- Level na A-level zinapatikana hapa bure na zikiwa na mikeka yote inayohitajika kwa ajili ya kufanyia evaluation kutokana na Grades pamoja na division. Jiunge hapa Sasa.

UTENGENEZAJI WA MIFUMO MAALUM

Tunatengeneza mifumo aina mbalimbali ambayo inatumika katika kazi za maofisini au biashara kulingana na mahitaji ya mteja na mazingira yake na namna ya ufanyaji kazi. Tuulize hapa

Tupo tayari kupokea maoni wa wageni wetu ili tuwe imara zaidi

Usisite kututumia ujumbe wa aina yoyote, wito ushauri pamoja na ukosoaji hapa.